Monday, July 9, 2012

TAZAMA MAISHA YA USWAZI KWA AKINA KOFFI OLOMIDE, WERRASON, CHRIS SAMBA, TRESOR MPUTU

Heeee...kumbe mtandao wa nanihii uko hadi Kongo!
Pichani juu, watu wakikatiza mitaa katika eneo la Bunagana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako shughuli za biashara zimeanza tena leo baada ya siku tano za mapambano kati ya waasi waitwao M23 na majeshi ya serikali, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Uganda.

Julai 6, waasi waliuteka mji wa Bunagana ambalo ni muhimu kwa njia za kusafirisha madini na kuwatimua askari zaidi ya 600 wa serikali waliolazimika kutimkia Uganda.

No comments:

Post a Comment