Monday, July 2, 2012

RAHA YA KOMBE, TORRES AJIACHIA NA VITOTO

Straika wa timu ya taifa ya Hispania, Fernando Torres (kushoto) akicheza na bintiye Nora uwanjani baada ya timu ya Hispania kuifunga Italia katika fainali na kutwaa ubingwa wa Euro 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine usiku wa kuamkia leo. Picha: REUTERS

Straika wa timu ya taifa ya Hispania, Fernando Torres (kushoto) akicheza na watoto wake, Leo (aliyembeba), Nora (chini) na mkewe Olalla (kulia) uwanjani baada ya timu ya Hispania kuifunga Italia katika fainali na kutwaa ubingwa wa Euro 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine usiku wa kuamkia leo. Picha: REUTERS

Straika wa timu ya taifa ya Hispania, Fernando Torres (katikati) akicheza na watoto wake uwanjani, Nora (kushoto) na Leo (kulia) baada ya timu ya Hispania kuifunga Italia katika fainali na kutwaa ubingwa wa Euro 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine usiku wa kuamkia leo. Picha: REUTERS

Wachezaji wa timu ya taifa ya Hispania, wakifurahi na kombe baada ya kuifunga Italia katika fainali na kutwaa ubingwa wa Euro 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine usiku wa kuamkia leo. Picha: REUTERS
Straika wa timu ya taifa ya Hispania, Fernando Torres akimbeba na mwanaye, Leo, huku akiambata na mkeweOlalla baada ya timu ya Hispania kuifunga Italia katika fainali na kutwaa ubingwa wa Euro 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine usiku wa kuamkia leo. Picha: REUTERS

Straika wa timu ya taifa ya Hispania, Fernando Torres akicheza watoto wake, Nora (kushoto) na Leo (kulia) baada ya timu ya Hispania kuifunga Italia katika fainali na kutwaa ubingwa wa Euro 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine usiku wa kuamkia leo. Picha: REUTERS

Straika wa timu ya taifa ya Hispania, Fernando Torres akicheza watoto uwanjani baada ya timu ya Hispania kuifunga Italia katika fainali na kutwaa ubingwa wa Euro 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine usiku wa kuamkia leo. Picha: REUTERS
Binti wa kipa wa timu ya taifa ya Hispania, Pepe Reina (hayupo pichani) akicheza uwanjani baada ya Hispania kuifunga Italia katika fainali usiku wa kuamkia leo. Picha REUTERS
Wachezaji wa timu ya taifa ya Hispania, wakifurahi na kombe baada ya kuifunga Italia katika fainali na kutwaa ubingwa wa Euro 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine usiku wa kuamkia leo. Picha: REUTERS
Kocha wa timu ya taifa ya Italia, Cesare Prandelli (kushoto) akimliwaza Mario Balotelli baada ya mechi ya fainali ya Euro 2012 dhidi Hispania kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev usiku wa kuamkia leo. Picha: REUTERS
Wachezaji wa timu ya taifa ya Hispania wakifurahi baada ya kuifunga Italia katika fainali na kutwaa ubingwa wa Euro 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine usiku wa kuamkia leo. Picha: REUTERS
Wachezaji wa Italia wakiwa taabaani baada ya kulala 4-0 katika fainali dhidi ya Hispania kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine Julai 1, 2012.
Wachezaji wa timu ya taifa ya Hispania (kutoka kushoto)  Xabi Alonso, Xavi Hernandez na Fernando Torres wakishangilia ushindi dhidi ya wachezaji wa Italia, Mario Balotelli (aliyechuhumaa) na Ignazio Abate wakati wa mechi yao ya fainali ya Euro 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev Julai 1, 2012. Picha:  REUTERS

No comments:

Post a Comment