|
Vijana wa Red Cross wakiwa katika bandari ya Malindu wakisubiri majeruhi na maiti wa ajali ya boti ya abiria. |
|
Boti ya Kampuni ya Azam Marine ikiwasili katika bandari ya Malindi ikiwa na baadhi ya abiria waliookolewa |
|
Kijana aliyeokolewa kutoka katika ajali akisaidiwa na askari |
|
Kijana akibebwa baada ya kuokolewa |
|
Manusura akiteremka kwenye boti ya uokaji |
|
Madakatari wa Hospitali Kuu ya Taifa ya Mnazi Mmoja wakitoa huduma kwa
majeruhi waliofikishwa hospitalini hapo kwa uchunguzi zaidi. |
|
Majeruhi wa ajali ya Boti kutoka nje ya Nchi ambao ni watalii waliokuwa
wakija Zanzibar kutembea kwa ajili ya Utalii wakiwasili katika hospital
kuu ya Mnazi Mmoja kwa kupata huduma zaidi wakisaidiwa na wahudumu wa
huspitali hiyo |
|
Majeruhi wa ajali ya Boti kutoka nje ya Nchi ambao ni watalii waliokuwa
wakija Zanzibar kutembea kwa ajili ya Utalii wakiwasili katika hospital
kuu ya Mnazi Mmoja kwa kupata huduma zaidi wakisaidiwa na wahudumu wa
huspitali hiyo |
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na
daktari bingwa wa kufanya uchunguzi wa maiti wa ajali kupitia uchunguzi
wa kuchukua vinasaba DNA, Dk. Ahmed Makata, wakati alipotembelea eneo
maalum la kuwekea miili ya maiti wa ajali ya boti katika viwanja
Maisara.
|
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Abdalla Mwinyi Khamis akiwa na Mkuu wa
Jeshi la Polisi Tanzania Said Mwema (katikati) wakati alipofika katika viwanja vya Maisara
kuangalia shughuli za utambuzi wa maiti zinavyoendelea jana usiku. | | CHANZO: http://othmanmapara.blogspot.com/ |
No comments:
Post a Comment