Wasanii wa kikundi cha kutoka Ukerewe wakifanya mambo wakati wa Mashindano ya Ngoma za Asili ya Balimi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba. Mashindano hayo yamedhaminiwa na bia ya Balimi. |
Majaji wa Mashindano ya Ngoma za Asili ya Balimi wakifuatilia kwa makini mpambano. |
No comments:
Post a Comment