Ney wa Mitego akipagawisha wakati wa tamasha hilo... |
Mashabiki kibao walikuwepo... |
Twende sasa.... chezea Kiduku wewe? Watoto wa Mtwara wakionyesha maujuzi yao wakati wa Tamasha la WAJANJA la Vodacom jana. |
Ngosha the Swagga Don.... mkali wa hip hop nchini Fid Q naye alisomeka pande hizo... |
Nyeusiiiiiii...... nyeusi hasa! Mkali wa hip hop kutoka pande za Arusha, Joh Makini akiwakilisha. |
Hapa ni Da' Stamina President, Shetta (kulia) akiomba watu wa Mtwara "wamdanganye-danganye...." |
Nimpende naniiiiii? Wema? |
No comments:
Post a Comment