TUCHUANE KWENDA KUSHUHUDIA AFCON SAUZI
Picha mbalimbali zikiwaonyesha baadhi ya mashabiki wa soka wa klabu za Ligi Kuu ya England waliojitokeza kwenye kushiriki shindano la kumsaka SHABIKI BOMBA kwenye shindano la Castle Lager Superfans Kimara jijini Dar es Salaam ambapo mshindi atakwenda nchini Afrika Kusini kushuhudia fainali za soka Mataifa ya Afrika (AFCON) 2013.Mshiriki wa shindano la Castle Lager SuperFANS, Joan akiwa na jezi ya timu yake anayoishabikia ya Man United. |
Vijana wakijisajili kwa ajili ya kushiriki shindano la Castle Lager SuperFANS |
Msumi Maneno (kulia), Kinyozi Kimara ,akifanyiwa usaili kwa shindano la Castle Lager SuperFANS |
Mshiriki wa shindano la Castle Lager SuperFANS, Ally Adam akiwa katika jezi ya timu anayoshabikia ya Chelsea. |
No comments:
Post a Comment