Saturday, December 29, 2012

PATA RATIBA YA WIKI HII KUANZIA LEO JUMAMOSI DESEMBA 29, 2012 KWA SAA SAHIHI ZA KIBONGO LIGI KUU ZA ENGLAND, HISPANIA, ITALIA NA UFARANSA... MAN U v WEST BROM SAA 12:00 JIONI.... ARSENAL v NEWCASTLE SAA 2:30 USIKU.... CHELSEA v EVERTON NA LIVERPOOL v QPR KESHO

LIGI KUU YA ENGLAND

 


LEO, Jumamosi Desemba 29, 2012
Sunderland     v     Tottenham Hotspur    (9:45) alasiri   
Man U            v     West Bromwich         (12:00) jioni          
Norwich         v     Man City                    (12:00) jioni      
Aston Villa     v     Wigan Athletic           (12:00) jioni          
Fulham           v     Swansea City             (12:00) jioni          
Reading          v     West Ham                  (12:00) jioni      
Stoke City      v     Southampton              (12:00) jioni      
Arsenal           v     Newcastle                  (2:30) usiku

KESHO, Jumapili Desemba 30, 2012
Everton           v     Chelsea                      (10:30) jioni
QPR                v     Liverpool                   (1:00) usiku   
   

 
 
LA LIGA, LIGI KUU YA HISPANIA


   


Bado wanakula bata sherehe za X-Mass na Mwaka mpya... ni hadi Januari 4, 2013


SERIE A, LIGI KUU YA ITALIA



Bado wanakula bata wa sikukuu za X-Mass na Mwaka mpya... ni hadi Januari 5, 2013



BUNDESLIGA, LIGI KUU YA UJERUMANI
 
Wako mapumzikoni hadi Januari 18, 2013

LIGUE 1, LIGI KUU YA UFARANSA





Bado wanakula bata wakifurahia X-Mass na Mwaka mpya... ni hadi Januari 11, 2013

No comments:

Post a Comment