Wachezaji Paulinho (kushoto), Ronaldo de Lima (wa pili kushoto), Zico (katikati), Bebeto (wa pili kulia) na Neymar wa timu ya Ronaldo na Rafikize wakishingilia goli dhidi ya timu ya Zidane na rafikize wakati wa mechi yao ya hisani iliyoitwa "Mechi Dhidi ya Umasiki" mjini Porto Alegre jana Desemba 19, 2012. Picha: REUTERS |
No comments:
Post a Comment