Mie bado nakupenda...! |
Hata mimi pia... watu wanajisemea tu, lakini ukweli ni kwamba nimekufa, nimeoza juu ya penzi lako! |
Kwa raha zetu mwaya...! |
Tusepe...! Chris Brown (mbele) na Rihanna wakitoka uwanjani baada ya kumalizika kwa mechi hiyo ambayo Kobe na wenzake wa Lakers walishinda kwa pointi 100-94 dhidi ya Knicks jana Desemba 25, 2012.. |
No comments:
Post a Comment