Mshiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, Mary Chizi akicheza mchezo wa pool dhidi ya timu ya TBL Arusha. Warembo hao jana walitembelea kiwanda hicho cha Bia cha TBL mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini. |
No comments:
Post a Comment