Kim Kardashian akijiachia katika fukwe za Miami mjini Florida. |
Mmh...! Tazama kinguo cha Kardashian kinachoonyesha maungo huku mwenyewe akikatiza mitaa ya Miami akiwa bila kivazi chochote ndani. Hii ilikuwa jana Jumapili, Oktoba 14, 2010. |
Tazama hapo kunako nanihii kwa umakiiiiiiini...! Hapa ni jana Jumapili (Oktoba 14, 2012) wakati akikatiza katika mitaa ya fukwe za Miami, Florida. |
Kim Kardashian |
Kim Kardashian na mpenziwe Kanye West wakikatiza mitaa jana Jumapili, Oktoba 14, 2012. |
Achana nao... twenzetu! |
Wanatuonea gere... mie hata ukitembea bila kufuli poa tu! Kanye West akiwa na Kardashian kwenye mitaa ya Miami, Florida jana Oktoba 14, 2012. |
Kanye West na Kardashian |
Hapo chacha....! Vibweka vyote hivi ni jana Jumapili, Oktoba 14, 2012 wakati Kardashian akiwa Miami, Florida. |
Cha kushangaza zaidi, mrembo huyo hakuonyesha kujali kuhusiana na 'adhabu bila kosa' aliyokuwa akiitoa kwa mijidume yenye 'ngare' iliyokuwa ikimtazama kwa jicho linalosema 'njoo kwangu' baada ya kutotupia chochote ndani, yaani alionekana hana 'kufuli' kabisaaaa, hivyo maungo yake muhimu yakawa yakionekana bure beleshi machoni mwa kila aliyebahatika kumtazama!
Hata hivyo, boifrendi wake Kanye West hakuonekana kujali na badala yake, muda wote alionyesha sura yenye bashasha na tabasamu tele, akionekana kufaidi maraha kwa kule kushikana na kumuongoza njia mpenzi wake huyo.
Je wangepita hivyo katika mitaa ya Bongo, hasa pale Kongo au Msimbazi, Kariakoo jijini Dar...INGEKUWAJE?
No comments:
Post a Comment