Nahodha wa Chelsea na wa zamani wa timu ya taifa ya England, John Terry
akiondoka kutoka katika mahakama ya Westminster mjini London, leo (Julai
9, 2012). Terry anakabiliwa na tuhuma za kumfanyia ubaguzi wa rangi
mchezaji wa Queens Park Rangers, Anton Ferdinand, wakati wa mechi yao ya
soka. Picha: REUTERS |
No comments:
Post a Comment