Monday, July 9, 2012

DE GEA MZIGONI AKIJIANDAA NA OLIMPIKI... WATAKOMA

Wachezaji wa timu ya Olimpiki ya Hispania, David De Gea (kushoto) na Adrian Lopez wakishiriki mazoezi kwenye uwanja wa Soccer City mjini Las Rozas, jirani na Madrid leo (Julai 9, 2012). Timu ya Hispania ya Olimpiki, iliyobatizwa jina la 'La Rojita' (Wekundu Wadogo), wakijiandaa na mechi zao za kirafiki dhidi ya Senegal na Mexico kabla ya kwenda London. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment