Tuesday, July 10, 2012

WASHINDI WA AWALI WA CASTLE LAGER SUPER FAN

Mshindi wa hatua ya awali ya Castle Lager Super Fan, Benson Kalolo, mkazi wa Mako, Mbeya akishangilia ushindi huo mara baada ya kufanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho.Mshindi atapata zawadi na nafasi ya kuwakilisha taifa kwenye kuunda timu ya Afrika United Super Fan itakayokuwa ikishangilia kwenye fainali za Mataifa ya Afrika nchini Afrika ya Kusini.

Mshindi wa hatua ya awali ya Castle Lager Super Fan, Ferdinand Nyambaya, mkazi wa Makondeko mkoani Mbeya akishangilia ushindi huo mara baada ya kufanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho.Mshindi atapata zawadi na nafasi ya kuwakilisha taifa kwenye kuunda timu ya Afrika United Super Fan itakayokuwa ikishangilia kwenye fainali za Mataifa ya Afrika nchini Afrika ya Kusini

Mshindi wa hatua ya awali ya Castle Lager Super Fan, Sonda Mdendemi, mkazi wa Mako, Mbeya ARRM akipozi baada ya kufanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho.Mshindi atapata zawadi na nafasi ya kuwakilisha taifa kwenye kuunda timu ya Afrika United Super Fan itakayokuwa ikishangilia kwenye fainali za Mataifa ya Afrika nchini Afrika ya Kusini

No comments:

Post a Comment