Wakazi wa Mji wa Tanga toka maeneo mbali mbali wakifuatilia moja ya
filamu za Bongo Movie inayofahamika kwa jina la 'Taxi Driver' iliyochezwa na waigizaji JB na Jackline Wolper iliyokuwa
ikionyeshwa katika tamasha la wazi la filamu kwenye viwanja vya
Tangamano, Tanga. Tamasha hili linadhaminikwa na Kampuni ya Bia Tanzania
kupitia kinywaji chake kisicho na Kilevi cha Grand Malt. Picha na
Intellectuals Communications Ltd. |
No comments:
Post a Comment