Monday, July 9, 2012

SEEDORF ATAMBULISHWA BRAZIL

Mchezaji wa soka wa Uholanzi, Clarence Seedorf akionyesha fulana iliyoandikwa "Seedorf, Carioca wa ukweli kuliko Waholanzi wote" huku Meya wa Rio de Janeiro. Eduardo Paes akionyesha jezi ya Botafogo kabla ya mkutano wake wa kwanza na vyombo vya habari katika klabu yake mpya ya Botafogo katika jumba la Cidade Palace mjini Rio de Janeiro, Brazil leo (Julai 9, 2012). Klabu kubwa Brazil ya Botafogo imeafikiana na Seedorf (36) mkataba wa miaka miwili. Picha: REUTERS
Seedorf (kulia) akitabasamu pamoja na Meya wa Rio de Janeiro, Eduardo Paes mjini Rio de Janeiro leo. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment