Monday, July 9, 2012

PARK JI SUNG ASAINI MIAKA MIWILI QPR

Kocha wa Queens Park Ranger, Mark Hughes (kushoto) na kiungo wa Korea Kusini, Park Ji-Sung wakitangaza kusajiliwa kwa nyota huyo kutoka Manchester United kwa ada ya uhamisho ambayo haitajwi katika mkutano na wanahabari mjini London, leo (Julai 9, 2012). Park amejiunga na QPR akitokea Man United kwa mkataba wa miaka miwili, klabu hiyo ya London magharibi imetangaza leo. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment