Lucio |
MILAN,
Italia
BEKI wa
kati wa Brazil, Lucio yuko mbioni kutua Juventus baada ya kuachwa na klabu yake
ya sasa ya Inter Milan, Juve ambao ni mabingwa wa Serie A, Ligi Kuu ya Italia
walisema katika taarifa yao leo.
Ilielezwa
zaidi kuwa beki huyo wa zamani wa Bayern Munich alitarajiwa kuchukuliwa vipimo
vya afya jana.
No comments:
Post a Comment