Monday, July 9, 2012

JOHN TERRY KIZIMBANI

Nahodha wa Chelsea na wa zamani wa timu ya taifa ya England, John Terry akiondoka kutoka katika mahakama ya Westminster mjini London, leo (Julai 9, 2012). Terry anakabiliwa na tuhuma za kumfanyia ubaguzi wa rangi mchezaji wa Queens Park Rangers, Anton Ferdinand, wakati wa mechi yao ya soka. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment