Wednesday, July 18, 2012

JEMBE KAGAWA LAGOMBEWA NA MASHABIKI AFRIKA KUSINI

Jembe jipya la Manchester United, Shinji Kagawa wa Japan likisaini fulana za mashabiki baada ya mazoezi kuelekea mechi yao ya kirafiki dhidi ya AmaZulu mjini Durban Afrika Kusini jana (Julai 17, 2012). Picha: REUTERS

Kiungo wa Manchester United, Shinji Kagawa wa Japan akitabasamu pembeni ya Michael Carrick wakati wa mazoezi kuelekea mechi yao ya kirafiki dhidi ya AmaZulu mjini Durban Afrika Kusini jana (Julai 17, 2012). Picha: REUTERS

Kiungo wa Manchester United, Paul Scholes (kushoto) na Shinji Kagawa wakishiriki mazoezi kuelekea mechi yao ya kirafiki dhidi ya AmaZulu mjini Durban Afrika Kusini jana (Julai 17, 2012). Picha: REUTERS

Mwaka huu mtanikoma.... Kiungo wa Manchester United, Shinji Kagawa akishiriki mazoezi kuelekea mechi yao ya kirafiki dhidi ya AmaZulu mjini Durban Afrika Kusini jana (Julai 17, 2012). Picha: REUTERS

Siamini niliachwa kwenda Euro 2012... beki wa Manchester United, Rio Ferdinand akishiriki mazoezi kuelekea mechi yao ya kirafiki dhidi ya AmaZulu mjini Durban Afrika Kusini jana (Julai 17, 2012). Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment