Thursday, July 19, 2012

ENEO LA TUKIO ILIPOZAMA BOTI YA MV SKAGIT

Mwokoaji akiwa na mmoja wa maiti wa ajali ya boti ya MV Skagit iliyozama Julai 18, 2012 katika eneo la Chumbe wakati ikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.

 Waokoaji wakiwa katika boti ya Kilimanjaro wakiopoa moja ya maiti.

Waokoaji wakiuopoa mwili wa mmoja wa waliofariki.

Waathirika wa ajali wakiwa katika chombo cha kuokolea wakisubiri kuokolewa
Boti ya KMKM ikiwa katika shughuli ya uokoaji baada ya ajali hilo 
 
 Helikopta ya Jeshi la Polisi ikiwa eneo la tukio.

 Boti iliyozama ni kama hii. Hii pichani ni pacha wake.

 Boti ya Fly ikiondoka katika bandari ya Zanzibar kueleke kutoa msaada wa uokoaji.

 Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu wa Zanzibar, Hamad Masoud akiwa katika boti ya Kilimanjaro baada ya kuwasili katika eneo la tukio ilipozama boti hiyo maeneo ya Chumbe.
 Tagi la Shirika la Bandari likiwa katika sehemu ya tukio.

Majeruhi wakiwa katika mgongo wa boti hiyo wakisubiri kuokolewa.

Mmoja wa waathirika wa ajali akiokolewa

  Majeruhi wakiwa katika mgongo wa boti hiyo wakisubiri kuokolewa.

Majeruhi Wakiwa Bandarini na Hospitali ya Mnazi Mmoja wakipata huduma ya Kwanza.

Mmoja wa majeruhi akipata huduma ya kwanza baada ya kuokolewa akiwa katika bandari ya Malindi
 
Daktari akitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa boti ya MV Skagit iliyozama wakati ikitokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar.

 Majeruhi wa ajali ya beti ya MV Skagit wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja wakipata huduma baada ya kuokolewa.

 Majeruhi wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja

 Majeruhi wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja

Majeruhi wakipatiwa huduma katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar baada ya kuokolewa kutoka katika boti iliyozama ya MV Skagit. CHANZO: othmanmapara.blogspot.com

No comments:

Post a Comment