Sunday, July 8, 2012

DK.JOSE CHAMELEONE APAGAWISHA TAMASHA LA MATUMAINI

Mwanamuziki wa Uganda, Joseph Mayanja a.k.a Dk. Jose Chameleone akiingia kupagawisha wakati wa tamasha maalum la kuchangia Taasisi ya Elimu (ETA) kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike katika shule mbalimbali za sekondari kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Julai 7, 2012.
Mwanamuziki wa Uganda, Joseph Mayanja a.k.a Dk. Jose Chameleone akipagawisha wakati wa tamasha maalum la kuchangia Taasisi ya Elimu (ETA) kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike katika shule mbalimbali za sekondari kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Julai 7, 2012.

Dk. Jose akiimba na mashabiki.

 Dk. Josee akiimba na mashabiki
Dk. Jose Chameleone akiwaimbia mashabiki wake "Valu Valu"
Hapana Valu Valu darling.... Dk Josee akipagawisha
Dk. Josee akiwapa mashabiki raha.
Tuimbe sote
Kwa mashabiki ilikuwa ni raha tupu
Sehemu ya umati wa waliohudhuria

PICHA ZOTE: http://www.globalpublishers.info/

No comments:

Post a Comment