Sunday, July 8, 2012

CHEKA AMKIMBIA KASEBA PAMBANO LA HISANI

Francis Cheka (mwenye fulana nyekundu) akitoka ulingoni baada ya kushindwa kupambana na Kaseba kwenye pambano lao la hisani katika tamasha maalum la kuchangia Taasisi ya Elimu (ETA) kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike katika shule mbalimbali za sekondari kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Julai 7, 2012.
Francis Cheka akitoka ulingoni baada ya kushindwa kupambana na Kaseba katika pambano lao la hisani kwenye tamasha maalum la kuchangia Taasisi ya Elimu (ETA) kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike katika shule mbalimbali za sekondari kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Julai 7, 2012.

Mnataka tupigane kwani tumegombana?.... Francis Cheka akitoka ulingoni baada ya kushindwa kupambana na Kaseba.
Alinipiga mara ya kwanza, angalau nami leo natangazwa mshindi.... Kaseba akipozi kwa picha baada ya mpinzani wake Cheka kukacha pambano lao la hisani.
Kaseba na wapambe wake wakifurahia ushindi wa dezo dhidi ya Cheka aliyekacha pambano lao la hisani.
Ushindi wa dezo.... Kaseba (katikati) akipozi kwa picha baada ya kupewa ushindi kufuatia mpinzani wake Francis Cheka kupanda ulingoni na kisha kushuka bila ya kuzichapa katika pambano lao la hisani.

PICHA ZOTE: http://www.globalpublishers.info/

No comments:

Post a Comment