Tuesday, July 17, 2012

KWA BUSU HILI... OBAMA AONGEZWE MIAKA MINNE URAIS

Rais wa Marekani, Barack Obama akimbusu mkewe Michelle Obama huku bintie Malia (kulia) akishuhudia, wakati walipohudhuria mechi ya maonyesho ya timu ya kikapu ya Olimpiki baina ya timu ya taifa ya Marekani na Brazil mjini Washington Julai 16, 2012. Mashabiki walilishuhudia kupitia skrini kubwa ya uwanjani wakainuka kufuatia busu hilo na kusema "apewe miaka mingine minne" ya kuongoza Marekani. Picha: REUTERS
Skrini kubwa ya uwanjani ikimuonyesha rais wa Marekani, Baraka Obama akimbusu mkewe, busu lililowafanya mashabiki wainuke na kusema aongezwe miaka minne ya kuiongoza Marekani. Picha: REUTERS
Rais wa Marekani, Barack Obama akimbusu bintie Malia (kulia) huku mkewe Michelle Obama akishuhudia wakati walipohudhuria mechi ya maonyesho ya timu ya kikapu ya Olimpiki baina ya timu ya taifa ya Marekani na Brazil mjini Washington Julai 16, 2012. Mashabiki waliinuka kufuatia busu hilo na kusema "apewe miaka mingine minne" ya kuongoza Marekani. Picha: REUTERS
Rais wa Marekani, Barack Obama (katikati) akifurahi pamoja na mkewe Michelle Obama (kushoto) na bintie Malia (kulia) wakati walipohudhuria mechi ya maonyesho ya timu ya kikapu ya Olimpiki baina ya timu ya taifa ya Marekani na Brazil mjini Washington Julai 16, 2012. Mashabiki waliinuka kufuatia busu hilo na kusema "apewe miaka mingine minne" ya kuongoza Marekani. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment