Sunday, June 24, 2012

WACHEZAJI UJERUMANI WAJIACHIA MITAANI

Tusafishe macho...! Mshambuliaji Thomas Mueller wa timu ya taifa ya Ujerumani na mkewe Lisa wakiwa matembezini katika mitaa ya Gdansk nchini Poland. Ujerumani walitinga nusu fainali ya Euro 2012 baada ya kushinda 4-2 dhidi ya Ugiriki juzi. 
Mwenzenu sina demu…! Beki Per Mertesacker akikatiza kivyake katika mitaa ya Gdansk, leo.
Mshambuliaji Lukas Podolski pia hakubahatika kukatiza mitaa ya Gdansk akiwa na demu kama ilivyokuwa kwa msh’kaji wake Mueller.

 

No comments:

Post a Comment