Tuesday, June 26, 2012

REAL MADRID YAWANADI KAKA, CARVALHO, DIARRA, ALTINTOP


Kaka
Carvalho
Diarra
Real Madrid tayari imetimiza kikosi chake cha wachezaji 25, huku Pedro Leon na Fernando Gago wakitarajiwa pia kurejea kabla ya kuanza kwa msimu mpya.

Mpango wa kocha Jose Mourinho ni kupokea ofa kwa ajili ya nyota wake wanne ambao ni Lassana Diarra, Kaka, Hamit Altintop na Ricardo Carvalho.
Hamit Altintop (kushoto) akiwa 'mzigoni' katika mechi mojawapo ya Real Madrid msimu uliopita


No comments:

Post a Comment