Monday, June 25, 2012

LENNOX LEWIS AWAPOZA KINA ROONEY


Lenox Lewis
Bingwa wa zamani wa ngumi za uzito wa juu Duniani, Lennox Lewis, alikisifia kikosi cha timu ya taifa ya soka ya England yenye nyota kama Wayne Rooney na Steven Gerrard na kusema kwamba timu nzima ilionyesha soka safi licha ya kutolewa kwa ‘matuta’ na Italia katika hatua ya robo fainali ya Euro 2012 jana. 
Lennox Lewis ambaye ni raia wa England, alisema: "Mmefanya kazi kubwa England na hongereni (kwa ushiriki mzuri). Mtarudi mkiwa ngangari zaidi…!

No comments:

Post a Comment